M23 wanatajwa kufadhiliwa na Serikali ya Rwanda hata hivyo, Rais wa Rwanda, Paul Kagame akizungumza na CNN alikanusha ...
Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wameuteka mji muhimu wa mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo wa Goma...
Rais wa Rwanda, Paul Kagame. Wakati Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ikiapa kuurejesha Mji wa Goma, jiji lenye takriban watu milioni 3, kutoka mikononi mwa waasi wa M23, imeendelea k ...
Nchi ya Rwanda imekanusha taarifa iliyodai kutolewa na mkutano wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), kuhusu ...
Tarehe 24 January 2025 Rais Tshisekedi alikatiza ziara yake mjini Davos baada ya mapigano makali kuzuka nchini mwake.
RAIS wa Rwanda Paul Kagame amesema amekubaliana na serikali ya Marekani ya kusitisha mapigano mashariki mwa Jamhuri ya ...
Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Kitaifa la Afrika Kusini (SANDF), Jenerali Rudzani Maphwanya, amejibu kauli ya Rais wa Rwanda, Paul Kagame, kuhusu mchango wa vikosi vya ulinzi wa amani katika Jamhuri ya Ki ...
RAIS wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi, amesema kuwa wanajeshi wanapambana kurejesha maeneo ...
Jioni hii kwenye makala ya Jukwaa la Michezo tumeangazia Congo kufutiliwa kushiriki mashindano ya CHAN 2024, kufutwa kazi kwa ...