MSHAMBULIAJI wa Simba, Leonel Ateba Mbida anaendelea kuonyesha kiwango bora hadi sasa katika michezo ya Ligi Kuu Bara na timu ...
Unavyosoma taarifa hii ni kwamba kocha wa Yanga, Sead Ramovic atamalizia mchezo huo wa dhidi ya KenGold kisha atafunga virago ...
KUELEKEA mchezo wa keshokutwa kati ya Yanga na KenGold FC, utakaochezwa Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam, winga mpya wa ...
DURU la pili la Ligi Kuu Bara linatarajiwa kurejea wikiendi hii kwa vigogo Simba na Yanga kula viporo walivyonavyo dhidi ya ...
Dar es Salaam. Simba juzi imejihakikishia kutinga robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kutoka sare ya bao 1-1 ugenini dhidi ya Onze Bravos ya Angola huku Yanga ikijiweka katika nafasi ...
ANGOLA; SIMBA ya Dar es Salaam imetinga Robo Fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF) baada ya kutoka sare ya bao 1-1 na Bravos do Maquis mchezo uliofanyika usiku huu nchini Angola.
HII ni wikiendi nzito kwa wadau wa soka na mashabiki wa klabu za Simba na Yanga ambazo zote zipo ugenini kusaka nafasi ya kusonga mbele kwenye michuano ya kimataifa ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF).
DAR ES SALAAM; YANGA imeitangazia vita Al Hilal ya Sudan kwenye mchezo wa raundi ya tano wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Uwanja Cheikha Ouldi Boidiya, Nouakchott, Mauritania. Ushindi kwenye mchezo huo ...