KOCHA Fadlu Davids ameshindwa kuifikia rekodi ya Patrick Aussems ya kushinda mechi 11 mfululizo za Ligi Kuu baada ya jioni ya jana kulazimishwa sare ya 1-1 na Fountain Gate iliyomaliza ...
USIKU wa deni haukawii, wawakilishi wa Tanzania waliobakia katika mashindano ya kimataifa, Simba na Yanga zitashuka katika viwanja viwili tofauti ugenini leo ... MC Alger ya Algeria kupata ushindi wa ...
kisha Bravos yenye pointi saba ikashinda mchezo wake wa mwisho dhidi ya CS Sfaxien, bado Simba itakuwa imefuzu kulingana na kanuni za CAF kwa mashindano hayo kama timu zikilingana pointi ...
Kwenye mchezo wa awali Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, Novemba 14, Al Hilal waliifunga Yanga mabao 2-0. Akizungumza na Crown Fm jana, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ali Kamwe ...