Kumbe hicho ni kinyume chake; haya makwasukwasu ya mtaani ndio yenye afya kuliko supu ya Hotelini. Mwanzoni tuliambiwa tusinywe sharubati za viwandani kwa sababu zina kemikali. Wataalamu wa kileo ...