USIKU wa deni haukawii, wawakilishi wa Tanzania waliobakia katika mashindano ya kimataifa, Simba na Yanga zitashuka katika viwanja viwili tofauti ugenini leo ili kucheza mechi zitakazoamua hatima ya ...
Unavyosoma taarifa hii ni kwamba kocha wa Yanga, Sead Ramovic atamalizia mchezo huo wa dhidi ya KenGold kisha atafunga virago ...
2024年中国人民币贷款增加18.09万亿元 中国人民银行14日发布金融统计数据显示 ... 国家医保局:去年前11个月 职工医保个账共济3.25亿人次 中国积极推进医保个人账户共济政策,国家医保局最新统计,2024年1—11月,职工医保个人账户共济3.25亿人次,共济金额 ...
WAKATI dirisha la usajili likitarajiwa kufungwa usiku wa leo inaelezwa kuna vita kubwa kati ya vigogo vya Simba na Yanga vikipigana vikumbo kuwania saini ya beki Lameck Lawi. Iko hivi. Baada ya Simba ...
lakini vigogo Simba na Yanga wakiwa hawachekani kabisa katika msimamo. Ndio, licha ya Simba kuongoza msimamo wa ligi hiyo kwa tofauti ya pointi moja dhidi ya Yanga, vigogo hao wamegawa idadi ya mechi ...
Hakuna namna nyingine ambayo mashabiki wa Yanga na Simba wanachotaka kusikia leo Jumapili zaidi ya timu hizo kushinda ugenini. Unaweza kusema leo ni siku ya hukumu, sio kwa timu hizo tu za Tanzanuia ...
MAURITANIA;HESABU Yanga zimekubali. Pengine ndivyo unavyoweza kuzungumzia matokeo ya mchezo uliomalizika muda mfupi uliopita kati ya Al Hillal na Yanga uliochezwa nchini Mauritania na Yanga kuibuka na ...
MAURITANIA; NI mapumziko mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Al Hillal na Yanga unaochezwa nchini Mauritania na tayari Yanga iko mbele kwa bao 0-1, mfungaji akiwa Aziz Ki.
Hivi ndivyo wachezaji wa Taifa Stars walivyocheza dhidi ya DR Congo katika mechi hiyo ya mwisho na alama zao walizovua; Ndiye kipa chaguo la kwanza ndani ya kikosi hicho na kwa Klabu yake ya Simba SC ...
Lakini leo amesema kuwa kilichotokea kwenye akaunti zake hapo jana baada ya mchezo kati ya Simba na Mtibwa ni cha 'bahati mbaya' na kuwa wameelekeza nguvu yao kwenye kujipanga kwa ajili ya ligi ...