WALIMU wa masomo ya Sayansi katika Mkoa wa Mwanza, wamepewa jukumu la kuifanya jamii kuwa ya kisayansi kwa kuhakikisha kila mtu anayepita shuleni anapata maarifa yanayoongeza thamani ya maisha yake, ...