Chilunda, amerejea tena KMC kwa mara ya pili, kwani aliichezea timu hiyo kwa mkopo Januari mwaka jana akitokea Simba ingawa aliachana nayo Julai mwaka jana. Kabla ya hapo, alikuwa mchezaji wa Azam FC, ...
Dar es Salaam. Simba itacheza mechi yake ya Jumapili wiki hii Januari 19, 2025 dhidi ya CS Constantine bila ya mashabiki kufuatia adhabu iliyopewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF). Adhabu ...
SIMBA imerudi nchini ikiwa na tiketi yake mkononi ya kucheza robo fainali ya sita kwenye mashindano ya Caf na kwenye msafara wa timu hiyo alikuwemo mfadhili wao wa zamani, Azim Dewji, ambaye ameshuka ...
BEKI wa kati wa Simba, Che Malone leo amewaomba radhi mashabiki wa timu hiyo kutokana kosa alilolifanya jana kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Bravos ya Angola. Malone ameomba ...
Hakuna namna nyingine ambayo mashabiki wa Yanga na Simba wanachotaka kusikia leo Jumapili zaidi ya timu hizo kushinda ugenini. Unaweza kusema leo ni siku ya hukumu, sio kwa timu hizo tu za Tanzanuia ...