M23 wanatajwa kufadhiliwa na Serikali ya Rwanda hata hivyo, Rais wa Rwanda, Paul Kagame akizungumza na CNN alikanusha ...
Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wameuteka mji muhimu wa mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo wa Goma...
Rais wa Rwanda, Paul Kagame. Wakati Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ikiapa kuurejesha Mji wa Goma, jiji lenye takriban watu milioni 3, kutoka mikononi mwa waasi wa M23, imeendelea k ...
Nchi ya Rwanda imekanusha taarifa iliyodai kutolewa na mkutano wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), kuhusu ...
Tarehe 24 January 2025 Rais Tshisekedi alikatiza ziara yake mjini Davos baada ya mapigano makali kuzuka nchini mwake.