JINA la Mwakyembe sio geni kwa wenyeji wa Soko la Mabibo, Dar es Salaam ambalo ni maarufu kama Mahakama ya Ndizi, lakini ni geni kama utakuwa mgeni katika soko hilo. Emmanuel Mtewele ndio majina yake ...
Hotuba za rais mteule wa Marekani, zimejaa tamko la kisiasa na mustakabali wa Marekani baada ya kuapishwa kwake. Jumanne, Trump alielezea wazo lake la kubadili jina la Ghuba ya Mexico kuwa Ghuba ...
Huanza wakati uko tayari kupunguza chakula kilichotafunwa kiwe na uthabiti wa supu na kufyonza virutubisho vyote kwenye mkondo wa damu. Kisha hutoa taka na gesi kwa namna ya kinyesi na mipira.
Kumbe hicho ni kinyume chake; haya makwasukwasu ya mtaani ndio yenye afya kuliko supu ya Hotelini. Mwanzoni tuliambiwa tusinywe sharubati za viwandani kwa sababu zina kemikali. Wataalamu wa kileo ...