ZAIDI ya ekari 1,000 za mazao katika Kijiji cha Makiba Wilaya ya Arumeru, mkoani Arusha zimekauka kwa ukame kutokana na kukosa maji kwa ajili ya umwagiliaji ya mfereji wa Makiba. Kwa miaka kadhaa, ...
Katika kipindi cha saa 24 hadi kesho Jumatatu asubuhi, theluji ya hadi sentimeta nane huenda ikashuhudiwa katika eneo la Koshin na maeneo ya kuanzia ya Hakone hadi Tama na Chichibu.
Mwaka 2021 alitumia karibu Pauni 3 milioni kwenye jumba moja huko Santa Ponca. Kwa mujibu wa Bild, Lewandowski sasa ameamua kuongeza idadi ya nyumba zake baada ya kununua jumba hilo lenye vyumba sita ...
Mary na Bluesky, Tabata, Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam. Tukio hilo limezua taharuki miongoni mwa wakazi wa eneo hilo baada ya wafanyakazi wa gari la maji taka kugundua mwili huo wakati ...
Hivi karibuni, Rais Trump alitangaza kusitisha misaada ya afya kwa nchi za Afrika, ikiwemo Tanzania, hususan usambazaji wa dawa za ARVs, hatua ambayo imezua taharuki miongoni mwa watanzania ambao ...
Ameahidi kulijadili suala hilo na mamlaka husika ili kuhakikisha haki inatendeka. “Nitoe wito kwa wafanyabiashara, tunapopata changamoto tuna uongozi kuanzia kwenye soko namna ya kuwasilisha taarifa ...