Mwili wa mtalii, Inbar Greidinger-Geisler (30), aliyefariki dunia kwa ajali ya gari ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro, umesafirishwa kwenda nyumbani kwao mji wa ... ajili ya matibabu zaidi,” amesema ...
Arusha. Mtalii mmoja raia wa Israel ambaye jina lake halijafahamika (mwanamke) amefariki dunia huku wengine watano wakijeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea ndani ya Mamlaka ya Hifadhi ya ...