KATIKA sehemu ya kwanza ya ripoti hii, ilielezwa utiririshaji wa vinyesi kwa watu waishio milimani nyakati za mvua unavyohatarisha maisha ya wakazi wa Jiji la Mwanza. Sehemu hii ya pili, inabainisha ...
MBIO za uchaguzi CHADEMA, zimefikia ukingoni Tundu Lissu ndiye Mwenyekiti Taifa na sasa anapanda daraja kutoka makamu na kuwa ...
WAIMBAJI nyota wa muziki wa Injili, Christina Shusho na Ambwene Mwasongwe ni kati ya wasanii watakaolipamba tamasha la Mkono wa Bwana.
Yanga imewafuta machozi mashabiki wake ya kutolewa katika Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao ...
Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) imeiagiza Rwanda kufunga shughuli zake zote za kidiplomasia na kibalozi nchini humo ndani ya saa 48. Hatua hiyo ...
Akifafanua zaidi kuhusu kauli ya No reforms No Election, Lissu amesema hawamaanishi kwamba watasusia uchaguzi. “Siyo kwamba ...