Mashabiki wa Simba leo wanatarajiwa kumimimika kwa wingi, Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam, uliopo maeneo ya Mwenge saa 10:00 jioni kuona timu yao baada ya kuzuiwa, Jumapili iliyopita, Uwanja wa ...
Dar es Salaam. Simba imeanza michuano ya Kombe la Shirikisho kibabe kwa kuifumua Kilimanjaro Wonders kwa mabao 6-0, huku ikiandika rekodi mbili katika hatua ya 64 Bora kwenye Uwanja wa KMC Complex, ...
NGOJA tuone leo ... KMC Complex, Dar es Salaam. Kumbuka baada ya leo, mechi za duru ya pili raundi ya 17 zitaendelea Februari 5, kukiwa na mchakamchaka wa hadi Mei 25 mwaka huu msimu utakapofikia ...
BEKI wa kati wa Simba, Che Malone leo amewaomba radhi mashabiki wa timu hiyo kutokana kosa alilolifanya jana kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Bravos ya Angola. Malone ameomba ...
Hii leo tumeangazia yaliyozungumziwa kwenye mkutano ... chipukizi ya dunia mwezi Septemba kufuatia mzozo unaoendelea DRC, uchambuzi wa droo ya AFCON 2025, maandalizi ya CHAN 2024 tarehe mpya ...
Dar es Salaam. Simba itacheza mechi yake ya Jumapili wiki hii Januari 19, 2025 dhidi ya CS Constantine bila ya mashabiki kufuatia adhabu iliyopewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF). Adhabu ...